:name ikoni

Hangouts

Google LLC

Hangouts - huduma za bila malipo za ujumbe, video na sauti

Hangouts picha ya skrini 0 Hangouts picha ya skrini 1 Hangouts picha ya skrini 2 Hangouts picha ya skrini 3 Hangouts picha ya skrini 4
Maelezo

Tumia Hangouts katika mawasiliano. Watumie marafiki ujumbe, piga simu za sauti au video bila kulipishwa na ushiriki katika mazungumzo na mtu mwingine mmoja au kikundi.

• Wajumuishe marafiki zako wote katika gumzo la vikundi vya hadi watu 150.
• Jieleze vizuri zaidi kwa kutumia ujumbe wa hali, picha, video, ramani, emoji, vibandiko na GIF zilizohuishwa.
• Geuza mazungumzo yoyote yawe Hangout ya Video inayojumuisha hadi watu 10 bila malipo.
• Pigia nambari yoyote duniani simu (simu unazopiga kwa watumiaji wengine wa Hangouts hazilipishwi!).
• Unganisha akaunti yako ya Google Voice ili upate huduma za kupiga simu, kutuma SMS na ujumbe wa sauti, zote kwa pamoja.
• Endelea kuwasiliana na marafiki kwa kutumia vifaa vya Android, iOS na kwenye wavuti; unaweza pia kusawazisha gumzo katika vifaa vyako vyote.
• Watumie marafiki ujumbe wakati wowote, hata wakati hawako mtandaoni.

Kumbuka: Huenda ukatozwa ada za Mtoa Huduma za Simu au za Mtoa Huduma za Intaneti. Simu unazowapigia watumiaji wengine wa Hangouts hazilipishwi, lakini huenda ukatozwa ukipiga simu zingine. Angalia ada tunazotoza unapopiga simu hapa https://www.google.com/hangouts/rates

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.talk
  • Jamii Mawasiliano
  • Toleo jipya 39.0.382346130
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 5.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Hangouts ikoni ya kati
39.0.382346130 2021.07.14
4 anuwai

Hangouts

APK

34 MB • Free Pakua

Hangouts ikoni ya kati
38.0.372644034 2021.06.05
3 anuwai

Hangouts

APK

34 MB • Free Pakua

Hangouts ikoni ya kati
37.0.367279857 2021.04.10

Hangouts

APK

24.9 MB • Free Pakua

Hangouts ikoni ya kati
37.0.362215742 2021.03.29
6 anuwai

Hangouts

APK

25.7 MB • Free Pakua

Hangouts ikoni ya kati
36.0.340725045 2021.01.21
6 anuwai

Hangouts

APK

21.5 MB • Free Pakua

Hangouts ikoni ya kati
35.0.327050771 2020.08.28
4 anuwai

Hangouts

APK

20.8 MB • Free Pakua

Hangouts ikoni ya kati
35.0.323885429 2020.08.15

Hangouts

APK

21.5 MB • Free Pakua

Hangouts ikoni ya kati
34.0.314821282 2020.07.27
2 anuwai

Hangouts

APK

19.8 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana