:name ikoni

Zana za Ufikivu za Android

Google LLC

Inajumuisha TalkBack, Menyu ya Ufikivu na zaidi.

Zana za Ufikivu za Android picha ya skrini 0 Zana za Ufikivu za Android picha ya skrini 1 Zana za Ufikivu za Android picha ya skrini 2 Zana za Ufikivu za Android picha ya skrini 3
Maelezo

Zana za Ufikivu za Android ni mkusanyiko wa programu za ufikivu zinazokusaidia utumie kifaa chako cha Android bila kukitazama au kwa kutumia kifaa cha swichi.

Zana za Ufikivu za Android ni pamoja na:
• Menyu ya Ufikivu: Tumia menyu hii kubwa iliyo kwenye skrini kufunga simu yako, kudhibiti sauti na mwangaza, kupiga picha za skrini na zaidi.
• Chagua ili Izungumze: Chagua vipengee kwenye skrini yako na usikie vikisomwa kwa sauti.
• Kipengele cha Kufikia Kupitia Swichi: Tumia kifaa chako cha Android kupitia swichi moja au zaidi au kibodi badala ya skrini ya kugusa.
• Kisoma Skrini cha TalkBack: Pata maelezo yanayotamkwa, dhibiti kifaa chako ukitumia ishara na uandike ukitumia kibodi ya skrini ya nukta nundu.

Ili uanze:
1. Fungua programu ya Mipangilio ya kifaa chako.
2. Chagua Zana za Ufikivu.
3. Chagua Menyu ya Ufikivu, Kipengele cha Chagua ili Izungumze, Kipengele cha Kufikia kupitia Swichi au TalkBack.
• Ili utumie TalkBack, unaweza pia kubonyeza na kushikilia vitufe vyote viwili vya sauti.n
Programu za Zana za Ufikivu za Android zinahitaji Android 6 (Android M) au toleo jipya zaidi.

Taarifa ya Ruhusa
• Simu: Zana za Ufikivu za Android huchunguza hali ya simu ili kuyafanya matamshi yaendane na hali yako ya kupiga simu.
• Huduma ya Ufikivu: Kwa sababu programu hii ni huduma ya ufikivu, inaweza kuchunguza vitendo unavyotekeleza, kuleta maudhui ya dirisha na kuona maandishi unayoandika.

Habari
  • Jina la kifurushi com.google.android.marvin.talkback
  • Jamii Zana
  • Toleo jipya 9.1.0.381213067 leanback
  • License Free
  • Date 2021-07-27
  • Inapatikana kwenye google play
  • Msanidi programu Google LLC
  • Requirements Android 6.0+

Matoleo ya awali
Tazama zaidi
Zana za Ufikivu za Android ikoni ya kati
9.1.0.381213067 leanback 2021.07.26

Zana za Ufikivu za Android

APK

23.8 MB • Free Pakua

Zana za Ufikivu za Android ikoni ya kati
9.1.0.367018935 leanback 2021.05.19

Zana za Ufikivu za Android

APK

23.8 MB • Free Pakua

Zana za Ufikivu za Android ikoni ya kati
9.0.0.332399336 2020.12.11

Zana za Ufikivu za Android

APK

14.7 MB • Free Pakua

Zana za Ufikivu za Android ikoni ya kati
8.2.0.303936097 2020.12.11

Zana za Ufikivu za Android

APK

14.2 MB • Free Pakua

Zana za Ufikivu za Android ikoni ya kati
7.3.0.239841594 2019.06.14
3 anuwai

Zana za Ufikivu za Android

APK

11.3 MB • Free Pakua

Zana za Ufikivu za Android ikoni ya kati
7.3.0.238058557 2019.07.08
2 anuwai

Zana za Ufikivu za Android

APK

11.3 MB • Free Pakua

Zana za Ufikivu za Android ikoni ya kati
7.3.0.238058557 leanback 2019.05.23

Zana za Ufikivu za Android

APK

10.8 MB • Free Pakua

Programu zinazofanana